Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa ini kawa msemaji wa masaki
 
Nakumbuka sana. Siku hiyo ndo nilianza kuhisi kwamba pengine Masaki nitaishia kuisikia na kuiona kwenye redio na TV tu. Asante kwa ushauri kwa sababu nilikuwa na maongezi na malkia ambaye kwangu ni dada tena wa muda mrefu hata Jembekillo hajaanzisha uzi huu. Maongezi ya biashara ya umeme wa betri aliniambia nifuatilie. Huko nikagundua na mengine mazuri tu. Jinsi ya kumpata ndo shida sasa kwa sababu hata PM kamfungia. Nipo kimya tu kwa kweli ila kuomba ruhusa kuongea na dadangu duh inataka moyo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…