Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Aisee una data unakumbuka hiyo saga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakumbuka sana,na bado akatoswa,Cole siku ile sijui alipiga cha wapi aisee!!!! Hakika carba ni mwanamke mwenye ushawishi sana,sikutarajia kama ipo siku Cole atatulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ISIS mamaangu,uwe unamkumbuka Cole japo dakika moja kwa wiki ukiwa na mzee wa liver, alijitolea uhai wake ili mradi usiguswe na kundi la vijana(Aleyn,..).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muhenga[emoji23][emoji23][emoji23]nalo ni jina jipya
Post hii imetumwa kwa hisani ya watu wa tukuyu....
Mimi nitapaka rangi nyie jengenituweze kulijenga taifa
Sijakupata vizuri kula likes kwanzaLadha ya uhuru ni kama ladha ya mauti. Ukishakuipata, huwezi kurejea nyuma. Labda iwe kuna aliyewahi kufa kisha akarudi tena duniani, ndipo kuwe na uwezekano wa watu waliokwishakuwa huru kuwarejesha kwenye ukandamizaji nao wakabakia hapo.
Nipo karibu kila siku ila tunapishana muda kidogo. Lete habari current za football tuburudike!
Peaceamani
Loveupendo
Solidaritymshikamano
Sometimes there's no time!
Nina RB hapa[emoji23][emoji23][emoji23]sitaki mchezo...yule bibi yako kalala nikupe ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]cherie neysha....
Kama unavyojipendapenda jirani yako
Hahahahaha dah angaliaHata ukajibereuza vipi, wewe ni dikteta uchwara tu. Nitakupinga fesibukuni, nitakupinga twitani, nitakupinga instagramuni, nitakupinga yuutyubuni, mote...mote ntakupinga tu. Barabarani tu siingii ukaja ukanisukumia karandinga jambazi weye..
Hali ni ngumu shemeji. Mzee anakaba mpaka penati!
Sema mke sio bibi... Haya niambieyule bibi yako kaondoka nikwambie kitu[emoji6][emoji6][emoji6]