Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
WordTatizo ya walio soma wengi wameanza maisha ya kumiliki mali tangu wakiwa chuo.Ukifanikiwa kukifunua kichwa cha mwanachuo,utaona anafanya kazi city center, ana mshahara mkubwa,ana gari nzuri,nyumba nzuri,maisha mazuri,bila kuajiriwa anasema shule haijamsaidia.Kujiamini zero,kuthubutu zero...[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Indeedtunapeana likes, lakini sisi ni zaidi ya marafiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwache Cole tuhangaike naye huku Mbagal kwanza. Masaki atahamia baada ya miaka 7-10 hivi wakati huo ameshafilosofika zaidi kuhusu maisha na ameshaachana na mambo ya paraboz...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ndo mtu mbaya masaki ingekua ya cole[emoji23][emoji23][emoji23]
Imefungua furusa nyingimitandao ya kijamii imejenga jamii sehemu nyingi na kwa watu wengi
Muhenga mwenzio[emoji1][emoji1][emoji1]Sema mke sio bibi... Haya niambie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwache Cole tuhangaike naye huku Mbagal kwanza. Masaki atahamia baada ya miaka 7-10 hivi wakati huo ameshafilosofika zaidi kuhusu maisha na ameshaachana na mambo ya paraboz...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namagondo unapafahamu vizuri mkuu. Kuna info natafuta kutoka huko Kisiwani kama utaweza kunisaidia.Maisha ya uzwazi ndiye yetu hasa sisi tuliokulia ziwani
hahahahaha ukaji kichwa kichafuLet's not hit below the belt ...
Mkuu hayo mahari yatasababisha nikaji KICHWA KICHAFU humu,nimeandamwa hadi naiona ndoa sio furaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa likes tuSiasa zimekutia majeraha mkuu? Kwotesheni kama hii kule Jukwaa husika ingeamsha mjadala mrefu kati ya zile timu mbili mashuhuri (mafisi vs manyumbu). Huku mhhh unless kama inakusaidia kupunguza hasira ulizonazo dhidi ya dikteta uchwara wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa ini kawa msemaji wa masaki
Ameji kichwa kichafuwapi 'kichwa kichafu
Na iwe hivyohahahahhhaaaaa hapana mimi siasa ni kusoma habari tu
Naona mkuu unalegezaPole shemeji. Unataka niitishe kikao cha ukoo tuone kama tunaweza kukusamehe?
Kwa kweli
[emoji125] [emoji125] [emoji125] ....kishuaKatingwa na nini? Majukumu au Cole?
AMUN RAIsis Goddess of 10000 names