Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mwanaharakati anahangaika na dikteta uchwara wake. Tatizo anatumia mafumbo sana mpaka ujumbe kuupata inakuwa ni shida hasa katika uzi huu ambapo watu wako bize kwenda na mtiririko!Sijakupata vizuri kula likes kwanza
Siasa za bongo ni shida fanya yako Mwenye Enzi Mungu anakubalikiSi vibaya kupigania unachokiamini ali mradi tu uwe na malengo yaliyo wazi.
Acha hizo bana. We shemeji mkorofi wewe. Usipande mbegu hizo za kihasama![emoji125] [emoji125] [emoji125] ....kishua
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini ilikuwa ni zaidi ya hapo,mzee wa liver alikuwa kama msuluhishi wenu (KK,CW na hcm) mkiwa kwenye mvutano wa kwenda Kigamboni,baadae mwana mama akakuambia kigamboni alipauza sasa kabaki Masaki,dogo ulichanganyikiwa ukawa unapost minyimbo ya kizungu tu,yeye mwana mama anapost mipicha picha ya kutisha(lugha gongana)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Mdogo wangu Cole tulia na carba,anayajua mengi sana yaliyo kuumiza,achana na watoto wa chuo...
That was real quick! Hata wiki hajamaliza. Kazi ipo!
Yaani andjul ni shidaWeeee
Walahi!
Hiii kali!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Asante shemeji. U mtu mwema sana!
Yule ni wa EPL partnerAtakuwa ameshajifunza. Kupenda usipopendeka ni mateso. Na nadhani hatakaa asahau. Na akianza tu kuyumba yumba nitakuwa namkumbusha. Hata kale ka kishua kakija nitakuwa macho. Mpendane daima!