AminaTuwaombee kwa Mungu awafanyie wepesi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti pete za visoda. KK kiboko. Alikuwa na burungutu la pete binti akizubaa tu anapachikwa. Naamini siku moja atarudi!Carba shahidi,kipindi hicho Kichwa kichafu anataka kuwavisha pete za visoda sammyluv,carba na nsamaka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kipindi kile kilikuwa na fujo nyingi sana
HahahhaSimba jike ni mkali lakini anazaa pia
Colombia number one WC 1990 ITALYRene HIGUITA.
Hawezi kukunyima ushilawaduHahahaaa najua hawezi kuninyima ubuyu
Safi sana my princessHabari ya wakati huu wapendwa
Nyie ni my princesses sitaki manenoAbeee, bora umekuja umepata na ujumbe wako.
Karibu mkuu
Si wazima, naona unanipiga chenga za mwiliNawasalim katika Bwana