mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tupo
Naona mpaka dada Nsamaka kanigeuka. Kula hizo ng'ombe 15 haina neno shemeji. Myatila na Mauzauza yatakayotokea usije ukaanza kulia.Naamini umehakiki mzee wa data.Tunza sana hiyo comment...
Kichwa kichafu shida sana YuleCarba shahidi,kipindi hicho Kichwa kichafu anataka kuwavisha pete za visoda sammyluv,carba na nsamaka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kipindi kile kilikuwa na fujo nyingi sana
RecordedNaamini umehakiki mzee wa data.Tunza sana hiyo comment...
Pamoja MkuuNaamini akimaliza majukumu yake atarudi.Umebaki wewe, mzee wa liver na Cole kwenye kuamsha amsha...Mungu awabariki sana,pamoja na myoyambendi,moudgulf,uniq, babe S,ghazwat,Numbisa,Isis,carba, mpenzi nsamaka, BAK,Cleverking,na wengine wengi tu.
HahahahahaMtoto wetu huwa hachelewi kuunguza picha,hata aje mjomba ake,yeye anaripoti na anasema yeye hamjui.Mtihani unakuwa kwa nsamaka kujieleza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mapenzi ndio tabu yakeHapana. Naona dada naye kanogewa. Basi I have to backoff...
Kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtu chake...
Scaramucci wa Skaramuchi is out! Moochie moochie is out
White House communications chief Anthony Scaramucci removed from post after 10 days, US media report.
Source: BBC NEWS