Gr8 kwa kweli my dearHabari ya asubuhi dadaangu
HahahahaDuh!!! Jamaa ni kama bado anahisi yupo kwenye mieleka na akina Triple H, "you're fired"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Soma Hii ni Ujumbe bora sanaMkuu likes kwangu mimi hazina maana yoyote ile, bali ni uungwana mkubwa unaonyeshwa na wachangiaji wa uzi huu ndiyo uliyonivutia zaidi. Likes hata kesho MODS wanaweza kuzichukua zote lakini nitaendelea kutinga kwenye uzi huu.
IndeedSoma Hii ni Ujumbe bora sana
Mh! huu uzi waungwana nimetokea kuupenda sana, Dah! Sijui kwanini nilichelewa kuchangia kwenye huu uzi.
Kufanya Mema ni akibaAibu sana!
Malipo ni hapa hapa duniani
MAULANA atusaidie kutenda mema
AMUN RA1:16
AMUN RA
The peoples PrincessDiana
Hahahahaha mida ya wangaDaaaah jf nzima we ndo uko macho
Endless UziNa huu uzi wako uko alive 24hrs