Shimba wanasema Trump administration ndio Tajiri zaidi kupata kutokea hii imekaaje mkuuSiasa. Mchezo wa hatari pengine kuliko yote hapa duniani! Aliingia na mikwara kibao akitishia kumfukuza ye yote ambaye angebainika kuwa anavujisha siri za ikulu. Akawatukana Chief Strategist Bannon na Chief of Staff matusi mazito ya nguoni. Leo naye amejikuta kafutwa kazi.
Uzuri tu hawa wenzetu karibu wote hawa ni mabilionea na hawana njaa kama hawa wanasiasa wetu uchwara. Zitto hakukosea aliposema kwamba kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi!
DuhJamani huku ni kutesana sasa wengine hatuelewi kiingereza kabisa.....!! [emoji30] [emoji31] [emoji24] [emoji119] [emoji119]
Sanduku la agano
Good morning my love!Good morning my Queen
The one and only ISIS
Well said my dearNa utajiri wa kutisha sana
Indeed sisi ni matajiri
Hahahahaha ulanzi unapatikana ukoLocation location location. Mie niko huku Mfaranyaki Songea karibu tuchome mahindi na firigisi za kuku wa kienyeji tutashushia na ulanzi 🙂🙂
PreciselySanduku la agano
YaaniHahahahaha ulanzi unapatikana uko
AMUN RAAMUN RA
Nilipiga post alone mpka mida ya wangaGood night my love