mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
DenmarkCopenhagen
DenmarkCopenhagen
UkLondon
NetherlandAmsterdam
FranceParis
USANew York, New York
GermanFrankfurt
NorwayOslo
CanadaVancouver
USASan Fransisco
USAWashington DC
HeatMiami
CavsCleveland
PiratesOrlando
Stress free zoneMh! huu uzi waungwana nimetokea kuupenda sana, Dah! Sijui kwanini nilichelewa kuchangia kwenye huu uzi.
Na makucha yake
Muhenga wa likesNa wewe unataka kuwa mhanga wa likes?
Well said broMkuu likes kwangu mimi hazina maana yoyote ile, bali ni uungwana mkubwa unaonyeshwa na wachangiaji wa uzi huu ndiyo uliyonivutia zaidi. Likes hata kesho MODS wanaweza kuzichukua zote lakini nitaendelea kutinga kwenye uzi huu.
Unapost chochote unapata likes hakuna matusi hakuna malumbano