Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Story
HahahahahaDuh!!! Jamaa ni kama bado anahisi yupo kwenye mieleka na akina Triple H, "you're fired"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Morning mkuuGood
Morning my people
Njema kabisaHabari ya asubuhi wakuu
Hahahahaha. Masaaweee alikuwa anatembea kuelekea nyumbani akitokea kazini. Aliwaza moyoni akisema, Mungu nikiokota 1000/- nitakupa 100/- Ama nikiokota 5000/- nitakupa 500/- Ama ukinipa 10000/- nitakupa 1000/- Baada ya kutembea umbali fulani akaokota shilingi 9000/- Massaweee akasema "Mungu wewe ni mjanja sanaaa umeshatoa 1000/- yako kabisa" *Wachaga nyie sio*

Good morningMorning mkuu
HahahahahaJamani huku ni kutesana sasa wengine hatuelewi kiingereza kabisa.....!! [emoji30] [emoji31] [emoji24] [emoji119] [emoji119]
Wewe like tuJamani huku ni kutesana sasa wengine hatuelewi kiingereza kabisa.....!! [emoji30] [emoji31] [emoji24] [emoji119] [emoji119]
AMUN RAOf wales
Karibu sanaKwa kweli
Nakuja Dodoma one of this days na wayahudi wangu!
Pray for me walahi!
My soulmate!
amenMungu ni mwema kabisa