Na kwako piaNawatakia asubuhi njema
IndeedBeautiful People
Hahahahaha*Uko na girlfriend wako kwenye basi mmesimama anakuuliza baby nikufanyie surprise unamjibu ndio anakusogegelea karibu anafungua zipu anaingiza mkono anaitoa nje mbele za watu unabak tu kutoa macho huna cha kufanya then anakwambia Nikupe hapa hapa au tukifika nyumban;😉 kwakua na wewe una ham nayo unamwambia nipe hapa hapa naye anaamua kukupa Iphone 6+ aliyokununulia akaiweka kwenye begi,, unaweka chip yako unaanza kuwapigia washkaj zako..*
*Mliwaza nn kizazi cha nyoka nyie*
Hahaha ni changamoto nchi nzima usihofu mambo yatakuwa tuMorning!
Shy vumbi tu kali sana. Jua linawaka hadi mifukoni.