Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

```Kuna Mzee Mmoja alipokaribia kufa akaacha wasia ufuatao``` *"Nikifa Bomoeni Nyumba, Kuna Mali Nyingi Sana Chini!''* ```Alipokufa wale watoto wakafata Wosia, Wakabomoa Nyumba, wakakuta Karatasi imeandikwa ``` *"KAMA NYIE VIDUME, JENGENI YAKWENU ''.*
*Pambana na hali yako*
 
*Uko na girlfriend wako kwenye basi mmesimama anakuuliza baby nikufanyie surprise unamjibu ndio anakusogegelea karibu anafungua zipu anaingiza mkono anaitoa nje mbele za watu unabak tu kutoa macho huna cha kufanya then anakwambia Nikupe hapa hapa au tukifika nyumban;😉 kwakua na wewe una ham nayo unamwambia nipe hapa hapa naye anaamua kukupa Iphone 6+ aliyokununulia akaiweka kwenye begi,, unaweka chip yako unaanza kuwapigia washkaj zako..*

*Mliwaza nn kizazi cha nyoka nyie*
 
Back
Top Bottom