Positive thinking!Hahaha ni changamoto nchi nzima usihofu mambo yatakuwa tu
Remain blessed my dearestWadau baadaye majukumu kidogo kama kawaida
dah!```Kuna Mzee Mmoja alipokaribia kufa akaacha wasia ufuatao``` *"Nikifa Bomoeni Nyumba, Kuna Mali Nyingi Sana Chini!''* ```Alipokufa wale watoto wakafata Wosia, Wakabomoa Nyumba, wakakuta Karatasi imeandikwa ``` *"KAMA NYIE VIDUME, JENGENI YAKWENU ''.*
*Pambana na hali yako*
ColeNumbisa
AMUN RAKaribu sana
Indeed my dearTIU
The Norse god