Sis kwema? Mbona umenitupa (rasmi)?SEPARATE GOOD FROM EVIL FOREVER
Wakuu sioni vizuri [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Sis kwema? Mbona umenitupa (rasmi)?SEPARATE GOOD FROM EVIL FOREVER
Hii nimeipenda
Aisee ni shida mzee wa twita huyuAmeteua mabilionea wenzake kushika nyadhifa nyingi muhimu na hasa uwaziri na mashirika mengi. Tatizo wengi wao hawana uzoefu wa kiutawala katika serikali na wanafikiri serikali inaendeshwa kama makampuni yao huko walikotoka. Na wazoefu wakijaribu kuwapa miongozo wanatumbuliwa. Bado ni vurugu!