Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Good afternoon my loveGood afternoon
HahahahaNimekuta sehemu kwa kweli nimecheka sana Mungu ni Mwema sana kwetu
Imagine kama tungekuwa tunanunua oxygen kama MBS
Zinapokaribia kuisha
Ndugu mteja mteja oxygen inakaribia kuisha si ujau mazishi yako karibu
I'm totally gratefulGood afternoon my love
Hahahahaha dahWe Moud wewe. Mzee Rutta anakuona. Ngoja aje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Our chemical formula likes for likesWeka likes pata likes
They Got plenty of optionKamwe huwa haurudi nyuma. Nimesikia wanasayansi hapa wanajadili dhana ya kubadilisha mwelekeo wa arrow of time ili hatimaye waweze kuunda time machine ambayo itaweza kurudi nyuma. Wanasema makalikyulesheni mengine yanakubali na kinadharia inawezekana japo wanasema bado kuna mitego ya kifalsafa mf. Mtu akitumia time machine akarudi nyuma katika maisha yake na kwa bahati mbaya au nzuri akafanikiwa kumuua babake kabla hajakutana na mama yake, nini kitatokea kwake? Love me some scientists man....!!!
Cute prophet
Safi babe s karibuZa humu!?
YupOur chemical formula likes for likes
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. They are no longer Makapuku....