moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kipo aliandika professor Machunda mpka Bible kwa kikerewe i will look for you myAsante sana. Kuna mwanafunzi hapa amesoma Rosa Mistika na anataka kujua zaidi kuhusu kijiji cha Namagondo. Ni Mjerumani na anapanga kutembelea Namagondo kabisa ili kujionea sehemu zilizorejelewa katika Rosa Mistika.
Kwa sasa habari za jumla tu kuhusu kijiji hicho na kisiwa kwa ujumla. Kuna kitabu cho chote kinachoelezea cho chote kuhusu kisiwa cha Ukerewe?
Catch you later my dear!Nice words from my Queen
MagnificentKipo aliandika professor Machunda mpka Bible kwa kikerewe i will look for you my
Genius one
Give me 2days