Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shukran kwa elimu ila nyama ya kuchoma tamu sana hasa ile yenye mafuta. Kama ya ng'ombe ya nundu aiseee
Ulaji wa nyama ulipamba moto hasa baada ya kugundua moto. Kabla ya hapo inasemekana nyama mbichi haikuwa sehemu muhimu ya lishe ya binadamu kutokana na ukweli kwamba umeng'enyaji wake ni mgumu.
 
1501600424504.jpg
 
Back
Top Bottom