Mboga na matunda ndiyo vilikuwa vyakula vyetu vya asili. Inasemekana tuliongezea nyama baadaye baada ya kugundua moto.Faida za matunda kama ndizi, parachichi, embe, zabibu, nanasi, chungwa na papai ni nyingi pengine kuliko madhara mengi kwenye miili yetu.