Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wengine walikua wanakuka nyama mbichiMboga na matunda ndiyo vilikuwa vyakula vyetu vya asili. Inasemekana tuliongezea nyama baadaye baada ya kugundua moto.
Ulaji wa nyama ulipamba moto hasa baada ya kugundua moto. Kabla ya hapo inasemekana nyama mbichi haikuwa sehemu muhimu ya lishe ya binadamu kutokana na ukweli kwamba umeng'enyaji wake ni mgumu.Wengine walikua wanakuka nyama mbichi
Kipo aliandika professor Machunda mpka Bible kwa kikerewe i will look for you my
Genius one
Give me 2days