Ulaji wa nyama ulipamba moto hasa baada ya kugundua moto. Kabla ya hapo inasemekana nyama mbichi haikuwa sehemu muhimu ya lishe ya binadamu kutokana na ukweli kwamba umeng'enyaji wake ni mgumu.
Asante mkuu. Nitaingia nikipata muda. Sasa ni mwendo wa likes kwanza!
Kiboko ya meneno ni kitimotoooo !!!Shukran kwa elimu ila nyama ya kuchoma tamu sana hasa ile yenye mafuta. Kama ya ng'ombe ya nundu aiseee
Haswa..Ndiko tulikotohoa neno hela !!!
Kiboko ya meneno ni kitimotoooo !!!