Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zote zilizotajwa ni faida za msingi za maji katika kuendeleza uhai wetu hivyo kuna
madhara mengi tutakayo kutana nayo pale tutakapo kosa kunywa maji kwa kiwango kinachotakiwa , mfano kujisikia uchovu , kuumwa kichwa na kukosa choo .
lakini changamoto leo ni je maji yako ni safi na salama ? na kama una uhakika je utajuaje ? ,Ndani ya blogu hii utapata elimu ya kutosha kuhusiana na maji .
 
Mtu akikosa chakula anaweza kuishizaidi ya miezi 2 akinywa maji tu, bali mtuakikosa maji kwa wiki2 tu anaweza kupoteza uhai , mwili wa binadamu kwa sehemu kubwa ni maji , Fikilia vile maji maji ambayo yapo mdomoni pale mtu anapokula chakula ikiwa ni hatua ya awali kabisa katika mfumo wa usagaji chakula hali hii uletwa na tezi ambalo huitwa salivary
 
Indeed
 
Maji pia utokeza sehemu kubwa sana ya damu ambapo oxygen uweza kusafiri ikiwa kwenye mishipa midigo midogo kwa ajili ya shuguri mbali mbali za mwili
Maji hayo katika uashiria kuwa mwili wa mwanadamu ni maji kwa kiasi kikubwa
 
KAZI ZA MAJI KATIKA MWILI
Mara nyingi nimesikia matabibu na wadau wengi wa sekta ya afya wakisisitiza watu kunywa maji angalau lita tano kwa siku , kutokana na watu wengi hapa duniani tumetingwa na shughuri nyingi hivyo huwa tunajisahau na kujikuta tukinywa kiasi kidogo sana cha maji matokeo yake tumejihisi wagonjwa na hata wengine kukimbilia hospitali kumbe ni kwamba atujazingatia kunywa maji mara kwa mara .
 
Mada ya hii itazungumzia kazi mbalimbali za maji katika mwili

Maji usaidia kumeng’enya chakula katika mwili
Baada ya kumaliza kula tunahitaji maji , hii ni kwa sababu maji huusika moja kwa moja kusaga chakula , mbali na mmeng’enyo ambao hufanyika maji pia upeleka viini lishe mbalimbali ambavyo huitajika na seli za mwili kuusaidia mwili katika ukuaji au kuboresha zaidi pia maji usaidia kupata choo .
 
2 . Maji usaidia kuleta msawaziko bora wa kiasi cha joto la mwili
Kwa wastani joto la mwili wa mwanadamu ni 98.6 degree za falenhite au 37 degree za sentigredi , kutokana na shughuli mbali mbali za mwili kiasi cha joto kinaweza kupanda au kushuka , mfano mtu mwenye ugonjwa wa malalia joto lake la mwili linaweza likapanda sana au kupungua , hii kibailogia utokana na seli nyeupe zinazolinda mwili kuzidiwa nguvu na virusi vya ugonjwa hivyo mgonjwa ni lazime anywe maji ya kutosha ili kurekebisha joto la mwili .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…