Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unaamini kwenye reincarnation au ni hayo mambo ya AMUN RA? Kuna watu wanaamini kabisa kuwa waliwahi kuwako kabla.Shimba napenda sana history ninaposoma nahisi uwepo wangu wakati huo
Siku imekwisha nothing real happened to meDon't be negative. Your queen hates negativity. You attract what you think and perceive...Ohooo!
I wanna grow old with you
Zepine
Sharing in everything you do
I wanna be there for you.
Carbamazepine
Confirmed ITV habariNdo wamesema hivyo simba
Hahaha , kabisa mkuu, kila nikija sikosi post ya less than a minuteKaribu tena kamanda. Uzi huu ni kupokezana. Wengine wanaondoka na wengine wanaingia. Ni active hata mida ya wanga utakuta watu wanakula likes bila wasiwasi!
I wanna be looking in your eyes. Zepine
I wanna grow old with you
Asante ndo ukubwa huu[emoji47][emoji47]mana sasahivi ndo nimepata ka muda nikasema nije wasabahiMimi nipo salama. Naona leo majukumu yalikuwa yamekaba. Pole sana na hongera. Pole kwa uchovu na hongera kwa kuwajibika!
Ushilawadu ndo umenifanya nisihame Mbagala. Can't imagine kuishi kwenye geti nimejifungia kama kwenu huko Masaki. Huku Mbagala ushilawadu unakufuata mpaka dirishani umelala zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Katika makelele na zogo zile ndimo mna ubinadamu na siri zake!The Genius one hujaacha ushilawadu