carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kawa mtoto mzuri sanaHajafanya lolote baya. Kagawa likes, kaimba nyimbo zake, paraboz mbili tatu na mwishowe akathibitisha penzi lake kwako kwa post mbili muhimu moja ikisema anatumaini mtazeeka pamoja, na nyingine akasema anatumaini kufia mikononi mwako. Nawaombea!
Tumejaa. Karibu!Hey mupoo?
Nimepona alihamdullilahTupo Ukhuty. Last time ulisema kuwa ulikuwa unaumwa. Ushapona? Ashukuriwe Mungu!
Habari yako?pole na majukumu...i missed u moreAm here baby nimekumiss mpaka sijielewi
NumbisaaaaaaaaNzuri kabisa ,za leo?
Nakusalimu mzee wa iniMy princess wao
Kweli kabisa pamoja na kupata mambo Fulani ratiba ya chakula muhimu sanaMwili mkubwa wenye afya. Ndo maana huumwi.
Salama tu,naona unatupia faida za maji safi sana[emoji122][emoji122][emoji122]Nzuri kabisa ,za leo?
Hongera. Kwa sisi tuliokulia mashambani kuishi bila shamba haiwezekani. Gunia 10 za mahindi, tano mchele, maharage hapa...unabakiza pesa ya mboga tu. It makes life so easy siyo kila mara unakwenda kwa Mangi kununua unga!Siku imekwisha nothing real happened to me
Hoooo great day indeed
I purchase 2 hectares of shamba