Nashangaa mkuu Ruta haoni likes nilizomwagia, na kuna maeneo nimekuta wadau wamemruka mi nikampa za,kutosha. Haina shida pateni likesMe umenipa za kutosha thank u so much moud
Pamoja kiongoziNimeziona nilikuchokonoa ili nikusifie
Hongera sana keep it up na mimi siachi mtu labda anayeniacha mkavu huvuna alichopanda
Familiar names for you ISISHahahaha
Ila wana sema hips dont lieWhen we lie we murder the truth
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Nipo 5 hrs ago,carba usinisumbue
Wadau wanaoniruka warudi wanitendee ubinadamu siruki mtu mimiNashangaa mkuu Ruta haoni likes nilizomwagia, na kuna maeneo nimekuta wadau wamemruka mi nikampa za,kutosha. Haina shida pateni likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyuma ya choo mbona salama tu hiyo. Kimbembe ni pale mboga zinapomwagiliwa maji yenye makemikali makali. Yaani mbolea zenyewe ukizifanyia uchunguzi wa kisayansi in sense siyo mboga bali ni sumu tupu. Mpaka molecular structure yake inabadilika.Sisi tunaokaa mitaani huku mchicha unalimwa nyuma ya choo acha kabisa ni vile Mungu anatupenda tu
Wewe ni mchapa kazi na ninakubariki ndani ya damu ya Kristu Yesu Mungu pekee aliyehai.
Yaani siku hizi tunakula sumu tu hakuna hata chakula salamaNyuma ya choo mbona salama tu hiyo. Kimbembe ni pale mboga zinapomwagiliwa maji yenye makemikali makali. Yaani mbolea zenyewe ukizifanyia uchunguzi wa kisayansi in sense siyo mboga bali ni sumu tupu. Mpaka molecular structure yake inabadilika.