Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye dunia ambayo inajali faida kupitia kiasi, usalama wa mlaji ni mdogo, hasa walaji ambao wanalazimika kula vyakula ambavyo haijulikani vimeandaliwa kwenye mazingira gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ndio mana sipendi kula vyakula vya migahawani,mana mazingira ya kuandaliwa huyajui kwakweli unakula tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…