Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Naona naye leo majukumu yamemkaba sana!myoyambendi heshima yako kiongozi
Kijana wetu hoiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]
Salama..nafurahi umekuja..myoyambendi heshima yako kiongozi
Siku hazifanani...japo naona likes zake kinya kimyaNaona naye leo majukumu yamemkaba sana!
Kama hapa dar, mboga nyingi zinalimwa bonde la msimbazi ambalo limesheni kemikali, unadhani hali ikoje miongoni mwetu?Mboga za majani nyingi siku hizi ni sumu tu Mungu atusaidie kwakweli
Shemejiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupiga push ups[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nashukuru kukuona tenaSalama..nafurahi umekuja..