Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani ndio mana sipendi kula vyakula vya migahawani,mana mazingira ya kuandaliwa huyajui kwakweli unakula tu
Kwa sasa kusema kweli hakuna pa kukimbilia unless ulime mwenyewe na upike mwenyewe. Daktari wangu alinipa ushauri wa maana sana. Usile chakula kile kile kwa muda mrefu. Badilisha badilisha na kula kila kitu in moderation - hata vyakula wanavyosema kuwa ni vizuri as long hujui vimekuzwaje, vimevunwaje, vimehifadhiwaje na kuandaliwaje. Tulikuja kugombana aliposema niache kabisa kula ugali kabisa eti carbohydrates na sukari.
 
Mkuu Kazi yako nimeona labda hiyo simu ya jamaa aina notification
 
Asee papuchi imemlegeza[emoji23] [emoji23]
[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Halafu wewe mzee mkuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…