Goodmorning too
Marufuku kukata tamaa kwa watu woteMwanaume hakati tamaa.
Habari yakoFaida za kutumia tangawizi:
-.Husaidia kupunguza kama si kuondoa kichefuchefu ni nzuri haswa kwa wale wnawake wenye
Nzuri umeamkaje?
Vizuri sanaKatika miaka 500 iliyopita tangawizi ilianza kutumika mashariki ya mbali, kama vile China na India wakitumia kwa kutibu maradhi mbali mbali.
Katika hili zao la tangawizi kuna vyanzo vya:
Mangenisium
Mangnese
Potasium
Copper
Vitamini B6
Hii ikiwa katika mwili wa binaadamu ikiwa ni pamoja na ugunduzi wa wataalamu kutengeneza tangawizi ni tiba tosha kwa magonjwa ya ngozi
Hivi andjul hule wimbo Wa mwanaume mashine nao ni mchirikuCarba umepona kwenye mchiriku?? Umekosa utamu kwa kweli..."Ali Mwinyi hodari...Uko wapi mama,ajali ya Buguruni..."[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amina MkuuAmen.Uwepo wake hapa una thamani kubwa sana
Good morning mansa mussaUkae na amani na mema yote
Gonga likesMkuu nipo natwanga like huku,leo sijaonekana kwa muda mrefu nimejikuta nina deni kubwa la like.