Achana na huyo mtu, kwa sasa ongea na mimiAndjul baby mis you sana
Chasugu kwa mwanaume anaekuzidi umri.Asante sana. Kitamsaidia. Vipi kuhusu source yo yote ya kujifunzia Kikerewe? Hasa salamu na mazungumzo rahisi rahisi?
Wenzetu hawa yaani wakiwa na passion na kitu basi they go for it. Imagine huyu kasoma kitabu tu kikamkolea sasa anataka kujifunza utamaduni, lugha na kutembelea kabisa ili akaone vitu laivu..