Wafanye maandamano, maana kupunguza mmoja kutoka Amerika kusini ni tatizo kwakweli. Tumezoea kuona mstari wa mbele wakijipanga MSNlaliga wamekataa Neymar kwenda P$g
usajili wa neymar si baina ya timu na mchezaji au timu na timu sasa la liga imekuwaje waingilie kati?Wafanye maandamano, maana kupunguza mmoja kutoka Amerika kusini ni tatizo kwakweli. Tumezoea kuona mstari wa mbele wakijipanga MSN
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimebaini kuna member wanachagua nani wa kumpa likes, na kuna wenzetu wanaweka post na kisha wanakimbilia majukwaa mengine na kutuachia post zao tuzilikes.Kila mmoja angetoa likes hivyo tungekuwa in cloud nine
Tatizo la maharage ni ile ges.Fanya maharage kuwa ni mboga yako ya kila siku hata kama ni kwa kiwango kidogo ili uendelee kuwa na Afya Njema yako wewe na familia inayokuzunguka. Tunaomba uendelee kuwa na manyandahealthy ili uwe na Afya Njema.