Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Aaaah dear ISIS furaha ilioje kuwa hapa Kijiji cha LikesPole sana
Mh. Ghazwat. Ulinisingizia eti umesusa bunge kisa naliendesha kwa upendeleo. Bunge hili tukufu linaendeshwa kwa kanuni. Zisome kanuni hizo na uzifuate. Vinginevyo nitaendelea kukutimua tu kwa sababu hatuwezi kuendesha bunge kama bazaar.Kwema Muheshimiwa SHIMBA YA BUYENZE furaha ilioje kuwa hapa Kijiji cha Likes.