Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mh. Ghazwat. Ulinisingizia eti umesusa bunge kisa naliendesha kwa upendeleo. Bunge hili tukufu linaendeshwa kwa kanuni. Zisome kanuni hizo na uzifuate. Vinginevyo nitaendelea kukutimua tu kwa sababu hatuwezi kuendesha bunge kama bazaar.
Taarifa! Taarifa!

Muheshimiwa SHIMBA YA BUYENZE taratibu na kanuni zipo nazifahamu, kwanini kila hoja unaizima? Na kuiona haina tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla?
 
Mh. Ghazwat. Ulinisingizia eti umesusa bunge kisa naliendesha kwa upendeleo. Bunge hili tukufu linaendeshwa kwa kanuni. Zisome kanuni hizo na uzifuate. Vinginevyo nitaendelea kukutimua tu kwa sababu hatuwezi kuendesha bunge kama bazaar.
Alipata support ya mwakilishi mmoja hapa, nadhani ni wa jimbo la mchamba wima[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…