Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Yule dada ni mwelevu sana,alijitahidi kuwakwepa wengi sana walio kuwa wanamshambulia,na alikuwa anawajua vizuri.Basi, kuna watu wamezaliwa kukwamisha furaha za watu wengine,ndicho kilichotokea kwa cocochannel.Nilimuona majuzi nadhani walikuwa na Numbisa kuleeee...(Zari anavyopata faraja kutoka kwa Diamond).Ni kweli. Haya mambo ya kuanza kumjadili mtu wakati mwenyewe hayupo na hajui yana madhara yake. Ni ya kuepuka hata kama ni utani.
Coco na msimamo wake ule ni wa kufukuzwa na mtu kweli? Aliwahi kusema kuwa anataka kupunguza matumizi ya JF na sikujua kama kafukuzishwa na watu!
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Kweli kabisa bora kumjadili mhusika akiwepoNi kweli. Haya mambo ya kuanza kumjadili mtu wakati mwenyewe hayupo na hajui yana madhara yake. Ni ya kuepuka hata kama ni utani.
Coco na msimamo wake ule ni wa kufukuzwa na mtu kweli? Aliwahi kusema kuwa anataka kupunguza matumizi ya JF na sikujua kama kafukuzishwa na watu!
Kwenye jukwaa la siasa mbona ni shujaa sana na asiyetetereka? Kwenye suala la Makonda alisimama kidete peke yake akapambana na umati mzima. Ndiyo maana sikuwahi kudhani eti kutokuonekana kwake katika uzi huu kumetokana na kuandamwa na baadhi ya watu.Yule dada ni mwelevu sana,alijitahidi kuwakwepa wengi sana walio kuwa wanamshambulia,na alikuwa anawajua vizuri.Basi, kuna watu wamezaliwa kukwamisha furaha za watu wengine,ndicho kilichotokea kwa cocochannel.Nilimuona majuzi nadhani walikuwa na Numbisa kuleeee...(Zari anavyopata faraja kutoka kwa Diamond).
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] haya sasa....mzee wa Masaki...kuja pande hiiiiiiMzee wa liver
Niambie unaingia kesho saa ngapi
Maana tunaondoka jmosi asubuhi!
Na 88 itatukutia Zenji!
Nijibu please!
Sawa ila mjifunze kutoa likes na kupunguza lawamamkuu Rutashubanyuma chonde chonde tunakuomba urudi nyumbani kule theatre of dream
tunakukosa sana
Kweli..kwenye siasa anasimamia hoja zake sanaKwenye jukwaa la siasa mbona ni shujaa sana na asiyetetereka? Kwenye suala la Makonda alisimama kidete peke yake akapambana na umati mzima. Ndiyo maana sikuwahi kudhani eti kutokuonekana kwake katika uzi huu kumetokana na kuandamwa na baadhi ya watu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukishikwa shikamana.Ukinijaribu sijaribiwiHahaha kwa taarifa yako wala usiondoke. Km kununa basi tutanuniana tu ila sitoki ng'ooo. Km ulijua ntaondoka ndio ujue ishakula pande yako.
Hehehehe sasa hv wala sitishiki kbs.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukishikwa shikamana.Ukinijaribu sijaribiwi
Haturuhusu mambo ya AMUN RA wala imani yo yote bungeni. Serikali yetu haina dini. Akianza mambo ya AMUN RA kuna wabunge wachungaji si ajabu watakurupuka na kuanza kukemea. Bunge litageuka sehemu ya miujiza na kupimana nguvu za Kiungu. Hili kamwe hatutaliruhusu!Ukute mbunge wa jimbo la mchamba wima ni ISIS,yeye anakuwa anawatwanga na AMUN RA mwanzo mwisho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uzi ule ilikuwa ni kucheka tu.Ulikuwa ni moja ya uzi bora kabisa kujadiliwa kwa tahadhali japo kwa vichekesho....Bwihi [emoji16] [emoji16]
Nimejaribu kuangalia comment yako kwa haraka haraka sikuona, sipati picha nini ulisema..!
Vipi tena? Wanandoa mnagombana hadharani? Nini kinaendelea hapa wapendwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukishikwa shikamana.Ukinijaribu sijaribiwi