Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muheshimiwa.. futa kauli yako kuhusu vurugu kabla sijamuachia mbunge wa WETE PEMBA kuwasilisha hoja yake binafsi sambamba na suali la nyongeza hapa
Akifuata kanuni za bunge sina tatizo. Anaweza kuwasilisha hoja yake binafsi na kuuliza maswali ya nyongeza hata mia lakini tu afuate kanuni. Mimi napigania kanuni tu basi. Mkifuata kanuni hizi za kidemokrasia tulizojiwekea basi tutaishi na kufanya kazi vizuri sana hapa bungeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…