Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wale wahindi Amerika kusini na hawa wahindi wa Asia wote ni wa kuogopwa. nafaka zao hazionjwi

Sent using Jamii Forums mobile app
Amerika Kusini hakuna Wahindi bana. Hebu jaribu kuwaita hivyo siku moja uje uone moto wake. Columbus kukosea na kudhani kuwa kafika India ndiyo mpaka leo wanaendelea kuitwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…