Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3218.JPG
 

Mkuu....
Inasemekana hujawahi kutoa likes hata moja katika uzi huu.
Wewe unakuja tu unapost na kwenda zako.

Jitahidi na wewe utoe likes kwa wenzako
Ndiyo kanuni muhimu ya uzi huu.
UNAPOKEA LIKES NA WEWE UNATOA LIKES...
​
Umenena kiongozi, huyo member huwa anatupia tupia post zake na kutimkia mbele huko..hii siyo nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom