Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wale wanao amkaga usiku kwa kula
chakula kingi kupita kiasi. Wanakuwa na
hisia tofauti kuwa shibe yao ya usiku
itawapa nguvu na uwezo wa kufanya
kazi asubuhi. Kwa hali hiyo
hujidanganya kuwa hawahitaji kifungua
kinywa.
 
Tumbo la chakula ambalo halikupata
mapumziko usiku, asubuhi litakuwa
limejaa chakula na halitaweza kula ziada.
Haya ni makosa ya kiufundi kwa kuwa
kifungua kinywa kina umuhimu wake
kwa nguvu za kukupa wewe
mwanafunzi au mfanya kazi. Unapokosa
kifungua kinywa kinachokubalika
uwezo wako wa kufikiri, kutumia akili
utakuwa duni.
 
Ni pale asubuhi wengine husinzia kwa
njaa. Ufumbuzi wa kuacha kubukanya
usiku na ukakosa kifungua kinywa: ule
chakula kiasi tu kile cha jioni angalau
saa 4 kabla hujakwenda kulala, na
ukiweza siku nyingine unaweza kuacha
kula chakula cha jioni ili tumbo lako la
chakula lipumzike, usile au usinywe kitu
kingine isipokuwa matunda na maji kati
ya chakula cha jioni na muda
unaokwenda kulala.
 
Ukifanya vitu hivi viwili basi ile funga
yako ya usiku utaiondoa asubuhi kwa
kula kifungua kinywa. Unapoacha kula
mlo wa asubuhi kama kifungua kinywa,
hilo zoezi halitakusaidia kupunguza
uzito hata kidogo. Utafiti uliofanyika
huko Iowa nchini Marekani umeonesha
kuwa kuacha kifungua kinywa cha
asubuhi haikusaidia kupunguza uzito.
 
Ukifanya vitu hivi viwili basi ile funga
yako ya usiku utaiondoa asubuhi kwa
kula kifungua kinywa. Unapoacha kula
mlo wa asubuhi kama kifungua kinywa,
hilo zoezi halitakusaidia kupunguza
uzito hata kidogo. Utafiti uliofanyika
huko Iowa nchini Marekani umeonesha
kuwa kuacha kifungua kinywa cha
asubuhi haikusaidia kupunguza uzito.
 
Ni pale asubuhi wengine husinzia kwa
njaa. Ufumbuzi wa kuacha kubukanya
usiku na ukakosa kifungua kinywa: ule
chakula kiasi tu kile cha jioni angalau
saa 4 kabla hujakwenda kulala, na
ukiweza siku nyingine unaweza kuacha
kula chakula cha jioni ili tumbo lako la
chakula lipumzike, usile au usinywe kitu
kingine isipokuwa matunda na maji kati
ya chakula cha jioni na muda
unaokwenda kulala.
 
Ukifanya vitu hivi viwili basi ile funga
yako ya usiku utaiondoa asubuhi kwa
kula kifungua kinywa. Unapoacha kula
mlo wa asubuhi kama kifungua kinywa,
hilo zoezi halitakusaidia kupunguza
uzito hata kidogo. Utafiti uliofanyika
huko Iowa nchini Marekani umeonesha
kuwa kuacha kifungua kinywa cha
asubuhi haikusaidia kupunguza uzito.
 
Wale walioacha kula chakula cha
asubuhi kama kifungua kinywa walijipa
nafasi ya kula vyakula vidogovidogo
kama sambusa, ice cream, soseji na
vingine vidogo kwa hali walijikuta
wanabukanya katika hali ya kukidhi njaa
au mfungo aliokuwa nao usiku.
Wale wote ambao hawakuwa wakila
chakula cha asubuhi kama kifungua
kinywa utendaji wao na uhimili wao
kikazi walikuwa dhaifu katika saa za
asubuhi. Usichelewe kulala, ili uamke
mapema.
 
Asubuhi kunywa maji kama glasi mbili
kuna saidia kusafisha tumbo. Fanya
zoezi kidogo pata mlo wa asubuhi
wenye moto kama uji na viazi vya
kuchemsha magimbi na muhogo kama
ipo matunda kidogo na karanga kama
zipo. Mlo huo pia ni mzuri kwa mtoto
anayekwenda shule. Nishati yetu
inatokana na chakula.
 
Ilikuwa vurugu mechi humu Numbisa, wengine wakitaka aliyeleta uzi wa kutafuna kitunguu saumu ili kuponya chunusi afunguliwe mashtaka kwa sababu hakutoa tahadhari kwa wajawazito na wengine wakapinga sana.

Unajua mkuu humu sio kila kitu cha kuchukua vingine lazima kuuliza wataalam kwanza,wakat wa mimba chunusi ni jambo la kawaoda,sasa wadada hawavumiliag kupoteza uzuri wao wakat huo huo wanataka mtoto. ,ile picha za wajawazito mtandaon wasio na chunusi zinawapoteza sana wengi wakitaman hali hio kumbe wenzao wanaisafisha picha kwanza ionekane vizuri ndo waitundike mtandaon ila kwa hali haliso nao wamejawa na chunusi tele
 
Ilikuwa vurugu mechi humu Numbisa, wengine wakitaka alieleta uzi wa kutafuna kitunguu saumu ili kuponya chunusi afunguliwe mashtaka kwa sababu hakutoa tahadhari kwa wajawazito na wengine wakapinga sana.
Wangemuonea tu mleta mada. Mwanamke akishakua mjamzito huwa anapewa tahadhali hosp kuwa asitumie tiba yoyote bila ushauri wa daktar,hizi akili za kujiongezea mitandaon sio kila siku zinafanya kazi
 
Back
Top Bottom