Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiweke Vyakula Pamoja. Usiweke kamwe nyama, kuku, au samaki mbichi pamoja na vyakula vingine unapofanya ununuzi, unapohifadhi vyakula hivyo, au unapovitayarisha. Usiache maji ya vyakula hivyo yatone wala kutiririka kwenye vyakula vingine. Usiweke kamwe chakula kilichopikwa kwenye chombo kilichokuwa na nyama, samaki, au kuku mbichi ila chombo hicho kiwe kimeoshwa vizuri kwa maji ya moto na sabuni.
 
Hifadhi Vyakula Ifaavyo. Friji inaweza kuzuia bakteria zisiongezeke, lakini halijoto yake inapasa kuwa nyuzi Selsiasi 4 tu. Mashine ya barafu inapasa kuwa na nyuzi Selsiasi 17 chini ya kiwango cha kuganda. Weka vyakula vinavyoweza kuharibika kwenye friji kabla ya muda wa saa mbili kuisha. Ukiweka vyakula mezani mapema, vifunike ili kuzuia inzi.
 
Hifadhi Vyakula Ifaavyo. Friji inaweza kuzuia bakteria zisiongezeke, lakini halijoto yake inapasa kuwa nyuzi Selsiasi 4 tu. Mashine ya barafu inapasa kuwa na nyuzi Selsiasi 17 chini ya kiwango cha kuganda. Weka vyakula vinavyoweza kuharibika kwenye friji kabla ya muda wa saa mbili kuisha. Ukiweka vyakula mezani mapema, vifunike ili kuzuia inzi.
 
Ujihadhari Unapokula Kwenye Mikahawa. Inakadiriwa kwamba katika nchi fulani zilizoendelea, asilimia 60 hadi 80 ya watu waliopata magonjwa yanayosababishwa na chakula walikula vyakula vilivyopikwa mikahawani. Hakikisha kwamba mkahawa unamokula unafuata sheria za usafi zilizowekwa na serikali. Agiza nyama iliyopikwa vizuri. Unaponunua chakula mkahawani na kukileta nyumbani, kile kabla ya muda wa saa mbili kuisha. Endapo muda zaidi ungepita kabla hujala chakula hicho, kipashe moto vizuri kufikia nyuzi Selsiasi 75.
 
Screenshot_2017-08-04-13-35-21.png
 
1.Miliki furaha yako wewe mwenyewe

Ni vyema ukifahamu kwamba baadhi ya vitu unavyovitegemea vinaweza visikupe furaha unayoitamani, yamkini mumeo au mkeo asikupe furaha, yamkini fedha na mali ulizonazo zisikupe furaha ya kweli. Jaribu kubeba jukumu la kujihakikishia una furaha pasipo kutegemea mazingira ya vitu au watu wanaokuzunguka. Chukua jukumu la la kuzalisha, kuitunza na kuiendeleza ile furaha na amani inayoishi ndani yako.
 
2. Badilisha namna

unavyoongea kuhusu wewe mwenyewe

Upo uwezekano mkubwa kwamba maisha yako na historia yako ya nyuma haitabiri kabisa mafanikio na furaha yako ya sasa na ya baadae. Jifunze na jitahidi kwenda kinyume na historia yako, tena ikiwezekana tengeneza mazingira ya kuikanusha historia hiyo yenye harufu ya kushindwa. Badili namna unavyojiongelesha mwenyewe na pia vile unavyoongea kuhusu wewe. Fahamu kwamba katika kule kuzungumza kwako unajiandikia mwongozo “script” ya maisha yako, ukijizungumzia vema basi inajitengenezea mwongozo wa furaha na mafanikio, ukijizungumzia vibaya vivyo hivyo unajiandalia “script” ya kushindwa na kutofanikia maishani.
 
3. Jifunze kuifurahia safari ya maisha yako

Maisha ni mchakato na sio mustakabali, hata kama upo mustakabali au mahali tunatamani kufika huko mbeleni ni lazima tuiheshimu na kuifurahia safari ya kufikia kule. Usikae kila siku ukisema nitajipa furaha nikifikia hapa au nikifikia pale, nita furahia maisha nikishaolewa, au nikisha maliza digrii, au nikisha nunua gari au nikisha jenga nyumba.
 
Back
Top Bottom