mkuu BAK huu ugomvi ujue
Njema sana naona unashuka na tarakimu nzito nzito
Mfalme punguza panicNeymar atatumika zaidi kibiashara kuliko kimpira! Matajiri wamemwaga mamilioni yao kwakuhitaji sura yake na sio miguu yake.
Shwari?Ijumaa Kareem.
Hakuna panic hapo,hiyo ndio biashara ya mpira siku hizi,matajiri wanazidi kuua mpira na kuupotezea ladha kwa tamaa zao za kuwatumia wachezaji kama mitaji yao.
Ndiyo hivyo tenaMansa Mussa likes but posts not!
Huku shinyanga sasa ni saa tatu na nusu usiku. Yaan huku kwetu mida hii hata boda husikii wakikatisha mitaani.
Umesema uko 21hrs ago lakini sioni notfcation zako kulikoni?Mzee wa namba naona kazi yako