HahahahahAsikuambie mtu bora kuachwa na mpenzi kulikoni kuachwa na Gari la mkoa...
Sio kwamba navuta bangi ila asubuhi hua nawaona pale Ubungo mnavyochanganyikiwa..!!
KwemaKwema wakuu?
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
New avatarI miss you dada with your new avatar.
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
AMUN RAMungu hujibu maombi,muda wote.Yeye ni Mungu asiye lala...muite ataitika,muombe atakupa tena kwa wakati.Naamini hivyo maana hajawahi nitendea tofauti na maombi yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama unavyojipendaHaujasoma maandiko? Mpende jirani yako....
HahahahahaMmmmh we mwanaume umeanza kujificha kwenye kichaka cha bible eti?
Mbona easy tu? Mwanaume ndiye kambeba mwanamke,ila ukitizama kwa wasiwasi unaweza dhani mwanamke ndiye kambeba mwanaume.
Princess of Wales