Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Feruzi
Kuna wakati alikuwa ndiye mwanamuziki mwenye gari la bei mbaya
Alikuwa anamiliki JEEP. alipata project ya ukimwi kwa ile nyimbo yake, alipiga fweza mpaka alikuwa hajui pa kuziweka.mwishowe akaamua kuwekeza kwenye kupata mlo huo wa kihindi ili kuimarisha afya yake. Tunampenda sana msanii wetu na kwakweli ametuangusha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mbunge wa kiembe samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…