Wa kupendana utakuwa poaJamani Cacacuona naye kaanzisha uzi wa kupendana huko, mtatutoa roho
Hawawezi!Ila mimi nafikiria baadaye tunyang'anywe hizi likes ili kila mtu ale kwa jasho lake.Ni kama vile tunapata huduma bila kulipa kodi.Pamoja na hayo naombeni likes.
Ha ha.
Nimekosa wakuu.Hata mimi ninazihitaji sana hizo likesUsamehewe Bure watu hatulali kwa ajili ya like halafu unasema za bure
Upo mkuuYaani we acha tu! Nilikuwa na mlist wa ku ignore watu kama 20 hivi hahahaha!
Hapa ni malike tu!
Nipo nangoja likes zakoUpo mkuu
NipunguzieJamani nina likes za kumwaga!
In Ebitokes voice...Nimwagie
HahahahaNipunguzie
Umepata kakaWadau mnatuangusha like zinapungua sana 22k imesimama sana muda mrefu
Ndo maisha ya Kibongo haya. Kila mtu mpigaji. Mpaka likes tunapiga. Sijui hata tutaendeleaje!Ila mimi nafikiria baadaye tunyang'anywe hizi likes ili kila mtu ale kwa jasho lake.Ni kama vile tunapata huduma bila kulipa kodi.Pamoja na hayo naombeni likes.
Ha ha.
OuchIn Ebitokes voice...
HahaaIn Ebitokes voice...
Maendeleo ni lazima WORK SMART NOT HARDNdo maisha ya Kibongo haya. Kila mtu mpigaji. Mpaka likes tunapiga. Sijui hata tutaendeleaje!
Dah.....Ndo maisha ya Kibongo haya. Kila mtu mpigaji. Mpaka likes tunapiga. Sijui hata tutaendeleaje!