carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Watu wapo busy leo jumatatu naona uzi unaenda mwendo wa kinyonga
Kwa mtindo huu wa upigaji hakuna aisee. Safari bado ni ndefu!Maendeleo ni lazima WORK SMART NOT HARD
Hapa umefika..Dah wakuu habari ya jioni nimekuja nipate japo vi like vyangu vitano nipumzike maana mauzi mengine unapanga point mwanzo mwenga like kidooooogo
Kila kona panabutuliwa..Kwa mtindo huu wa upigaji hakuna aisee. Safari badi ni ndefu!
Hawa ni wa kutaifisha kila kitu na kunyonga kabisa if possible. Shwaaaiiiiin kabisa!
Ngoja tumalize kazi tuje kubariziNjema kiongozi. Haya, tuendelee na utaratibu wetu wa like
Natumia Wi-Fi ya library mkuu. Watu wanafikiri nafanya jambo la maana kumbe niko nafakamia likes...Kwani mkuu unapiga hizi Likes bila Mbs au Bundle?? Haupigi kitu hapa ila ni kula likes pia uliwe bundle....unless unatumia Wi-fi ya Office...
Pole...kweli unazo 33 Tuu...jitathmini.tuweni serious wadau muda wote huu sijapata ata like 100?