Kwani mkuu unapiga hizi Likes bila Mbs au Bundle?? Haupigi kitu hapa ila ni kula likes pia uliwe bundle....unless unatumia Wi-fi ya Office...Ndo maisha ya Kibongo haya. Kila mtu mpigaji. Mpaka likes tunapiga. Sijui hata tutaendeleaje!
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Hawawezi!
SISI NI WALE WAKULIMA WA SAA 11 TUMEKUJA MWISHO NA KULIPWA WA KWANZA BLESSED ONES INDEED
Na umezikusanya kweli likes aisee. Huko nyuma ulikuwa mnyonge wangu sasa naangalia maweeee unakimbilia 20K. I am cheering you mpaka ugonge 100,000 uwazidi hata vigogo wa Makapuku. Let's go!This thing is inspirational walahi
Aaaaaaaah ze world is not fair aisee hawa wadingi wamefikia hapo au ni edit
Kula like kwa kuonyesha msisitizo
Thanks thanks thanks...mimi pia niko nawe! Beba likes!Na umezikusanya kweli likes aisee. Huko nyuma ulikuwa mnyonge wangu sasa naangalia maweeee unakimbilia 20K. I am cheering you mpaka ugonge 100,000 uwazidi hata vigogo wa Makapuku. Let's go!
Leo nitagonga mpaka like zako zifikie 20000Nipo nangoja likes zako
Kuja hapa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Singasinga kawa mpoleeeee...IpTL
UnacheeekaHahahaha