Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu mji utanishinda kwa kweli. Nimejikuta nimeikumbuka baridi ya kwetu,huku mpaka ujifungie kwenye gari/chumba ndio upate baridi? Baridi nayo inalipiwa?
[emoji23][emoji23]ungeibeba kwenye begi ukaweka hakiba....pole ukizoea baridi ukija ukanda huu wa pwani ni shida kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…