andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kweli kabisaUsidhani uko peke yako
Kweli kabisaUsidhani uko peke yako
Mh acha unaaa wwShangaa na wewe babe ujana ale na nani uzee aje malizia kwangu
Km nn? Km mlikuwa wote jana.Kama nini?.....
Maneno kuntu[emoji426] “The smallest minority on earth is the individual. Those who deny individual rights cannot claim to be defenders of minorities.”
[emoji426][emoji185] Quoted by : Ayn Rand
Mzee wa jibapa[emoji23][emoji23][emoji23]Basi aende kwa lusekero
Unajishaua nnCarba!!!!!!!!
Naamini katika hilo.Tunapita kwenye misuko suko sanaHii ndoa mweh,iko inapumulia mashine. Tukinusurika hapa basi hatutaachana tena.
Kwema kabisa @ shimba ya buyenzeHatujambo mkuu. Kwema?
Wapi? Shindwaaaa weweeeWivu kidonda[emoji23][emoji23][emoji23]...twende basi nakusubiri
Safi sana, unastahiki heshima11 hrs ago nagonga likes si mchezo mlima ulikuwa mkubwa
Eeh hivyo hivyo na utaenda bure tu maana ushakaribia kunichosha.Ukinigawa bure maana yake sina thamani...nsamaka angalia sana,chunga ulimi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hadi nashangaaaNapambana sana ila huyu muhenga mwenzangu naona kachanganyikiwa na ww.
Mmmh we.jishaue tuCarba!!!!!! Mimi nipo hapa hospital napata uchachu kidogo
Halafu Cole mwenyewe hana kokoro[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo ni makubaliano yangu mimi na yeye halafu habari za Cole niachie mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Unashangaa nn na wakati ww ndio mwizi wake?Ndipo na mimi nashangaa sana
Unaona unavyojibu?Kweli kabisa
Te te te te jana na leoAnaeandikisha majina aniandike na mm kwenye mahudhurio
Na.ww ndio sababu.Naamini katika hilo.Tunapita kwenye misuko suko sana
Siyo bure...Na ninavyotaka kuharibu leo acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]akinigusa tu imekula kwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]