Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,320
- 16,768
Anaitwa kereng'ende...kwetu ni dawa ya mapenzi
Sent from my TV
Anaitwa kereng'ende...kwetu ni dawa ya mapenzi
Dawa yake ni kufuta machozi na unajiunga na bundle la mwaka mzimaView attachment 558048
Pale unapokosea kununua muda Wa maongezi Wa 1000,badala yake umenunua Wa 100000 wakati Salio lako ni 101000
Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
Fine kabisaNi sikunyingi sijaingia hope muko fine
Du[emoji7] [emoji12] wengine tutaishi kunawa tu kula mtakula nyie
AMUN RAZile baraka za trading za TIMBUKTU, MALI
Naziamsha tena!
Sasa ziwe TANZANIA,
Milele yote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa sijaelewaUnashangaa nn na wakati ww ndio mwizi wake?
Malikes matamu sanamambo ya likes sio mchezo
hata mimi nimenogewa
FridayIjumaa
Karibu sanaNitarudi baada ya muda kidogo
Hahahahahadr mihogo katika ubora wake
ni aina gani ya mihogo anakula huyu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babe Snsamaka na andjul......
Hahahahaha
Ngoja nami nikupeWakuu nimerudi tena I hope safari hii nitamaliza kuwapa likes