Kiboko kiboko chake ni kiboko (cha mchongoma!) [emoji23][emoji23][emoji23]Kati ya mamba na kiboko nani kiboko mi nahisi kiboko ndio kiboko
MmmmhKati ya mamba na kiboko nani kiboko mi nahisi kiboko ndio kiboko
Wapi hukoKule kwingine badala ya kupewa like unaambulia limtusi lisilo na heshima. Unaishia tu kuwa msomaji comments za wenzio.
Pokea likeNimekosa wakuu.Hata mimi ninazihitaji sana hizo likes
Hujafuturu bado!Swaumu kali sana leo
Hggj
Safi, habari za kaziZajioni
Kiboko ndiyo kiboko!Mamba au kiboko ndio kiboko
Kweli eeeHahahaaaa, JF ni chuo cha uraiani. Ukiweza kuishi vizuri na familia ya Jf hakuna atakae kusumbua mtaani.
Salamu za nini? Kamata likes...Zajioni