Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahaha my princess hatariChembamba kina siri kubwa.
Kukosekana kwako hapa unapunguza radhaAnayeishi chini ya mti ndiye ajuaye riziki ya mchwa.
Hii ya Neymer ni kufuru
Nimemiss sana misemo tupiaKivipi!?
HahahahahaDuuh agiza fursana hapo dukani kwa Mangi nitalipia
Kweli shimbaKaribu tena Cocochannel. You were terribly missed!