mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Pamoja Mkuu nadaiwa likes nyingi sana lakini ndio namaliziaNipo kamanda. Ni kukimbizana na majukumu tu. Nipo nipo !!!
2hrs ago
Pamoja Mkuu nadaiwa likes nyingi sana lakini ndio namaliziaNipo kamanda. Ni kukimbizana na majukumu tu. Nipo nipo !!!
Shimba nilikwenda mbali sana niliuliza sasa kama dawa inatengenezwa kwa kutumia bangi wanazipata wapi wakati haziruhusiwi kulimwa hapo nilichoka zaidiNi nani anayepaswa kushughulika na haya mambo? Shirika la viwango la taifa ama?
OK migodi mitatuMji ule umezungukwa na migodi mitatu ndio maana uko juu. Lkn pia ile barabara ya rwanda burudi nayo inaupaisha sana. Bandari ya nchi kavu pia isaka.
Hahaha the same Simba and Yanga
Aisee. Hiyo dawa inatibu nini?Shimba nilikwenda mbali sana niliuliza sasa kama dawa inatengenezwa kwa kutumia bangi wanazipata wapi wakati haziruhusiwi kulimwa hapo nilichoka zaidi
Government wanalima bangi kwa matuzi sahihi
Mzee na mkongojo mpaka kwa majirani. Safi sana!
Siasa bhana daah!!Mzee na mkongojo mpaka kwa majirani. Safi sana!
HahahahahaMay be dude limegoma kuamka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poa mkuuNawasalimu humu ndani
Kula likesGonga likes
HahahaPapa nguru mkuu...
Thanks my loveMiss u 2 babes